Michongo inazidi kumtosa Diddy

Kampuni ya Hulu imeripotiwa kuachana na kipindi cha TV cha rapa Sean ‘Diddy’ Combs Diddy+7, kutokana na shutuma zinazomuandama za ubakaji na unyanyasaji wa kingono kwa EX-wake Cassie na wanawake wengine.

Mtandao wa Rolling Stone, umethibitisha hayo hivyo kipindi cha rapa huyo na familia yake hakitaruka hewani kutokana na madai hayo.

Mapema mwezi huu Diddy alijitokeza hadharani kupinga vikali madai hayo yanayotolewa na watu kadhaa dhidi yake.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *