Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), Steven Mnguto amewasilisha barua ya kujiuzulu wadhifa huo.
Taarifa ya leo Juni 13, iliyotolewa na Katibu Mkuu wa TFF, Wilfred Kidao imeeleza kuwa pia Rais wa TFF, Wallace Karia amemsimamisha kazi Ofisa Mtendaji Mkuu wa TPLB, Almasi Kasongo.
