RAIS SAMIA AKAGUA MRADI WA UJENZI UWANJA WA NDEGE MSALATO, BARABARA YA MZUNGUKO JIJINI DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Matukio tofauti tofauti ya picha alipotembelea na kukagua Mradi wa Ujenzi wa Barabara ya Mzunguko Dodoma (Outer Ring road) yenye urefu wa Km 112.3 kutoka Mtumba – Veyula – Msalato leo Juni 14, 2025.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *