Mechi ya Simba na Mtibwa Sugar imehairishwa

Mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Simba SC na Mtibwa Sugar umehairishwa.

Mechi imehairishwa ili kupisha Simba kufanya maandalizi ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Asec Mimosas ambao utapigwa nchini Ivory Coast siku ya Ijumaa Februari 23, 2024.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *