Msanii wa muziki nchini Richard ambaye aliyevuma na wimbo ‘Basi Imba’ ambaye ni ndugu na mwanamuziki Tundaman, amefariki dunia.
Taarifa za kifo chake zimetangazwa na Tundaman kupitia ukurasa wake wa Instagram.
Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!
P. O. BOX 71, Shinyanga, Tanzania
+255 766 408 253
info@jambofm.co.tz