Klabu ya soka ya Manchester United wako katika nafasi nzuri zaidi kuliko Arsenal kumpata mshambuliaji wa Brentford ya Uingereza Ivan Toney, 27, ambaye thamani ya The Bees ni £80m.

Huku Chelsea wakitarajiwa kuangazia zaidi mpango wa kumnunua mshambuliaji wa Napoli Victor Osimhen, 25, na Napoli. . (TeamTalks)