Mchezaji wa Congo DR Inonga ni Mchezaji wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania, katika klabu ya Soka ya Simba SC huku Sébastien Romain Teddy Haller ni mchezaji wa kulipwa ambaye anacheza kama mshambuliaji katika klabu ya Borussia Dortmund, ligi ya Bundesliga na timu ya taifa ya Ivory Coast.
Contact Us
P. O. BOX 71, Shinyanga, Tanzania
+255 766 408 253
info@jambofm.co.tz