Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Mahakama yawaachia Naira Marley na Sam Larry

Mahakama ya Hakimu Jimbo la Lagos wamewapa dhamana ya jumla ya Naira Milioni sawa na Tsh/=61,714,854.18 na wadhamini watatu msanii wa muziki Naira Marley, na promoto Sam Larry.

Pia Hakimu, Adeola Olatunbosun, aliamuru wawili hao kuwasilisha hati zao za kusafiria kama sehemu ya masharti yao ya dhamana na pia kila wiki wafike ofisi za Idara ya Upelelezi wa Jinai (CID)

Wawili hao walikamatwa baada ya kuhusishwa na kifo cha Mohbad, kilichotokea Septemba 12.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *