Gigy Money ajiachia na CHAFU 3

Msanii wa muziki, Gigy Money anatarajia kuachia EP yake iitwayo CHAFU 3, ambayo itakuwa na ngoma tatu ambazo ni Chizi,Star na Na Utasema. Hii ni EP ya kwanza kwa msanii huyu wa muziki.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *