Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Lakers wajenga sanamu la Kobe Bryant, nje ya Uwanja wao

Klabu ya mpira wa kikapu ya Los Angeles Lakers wameendelea kumuenzi aliyekuwa mchezaji wa timu yao Kobe Bryant ambaye alifariki mnamo Januari 2020, kwa ajali ya helikopta kwa kujengea Sanamu lenye mfanano wake nje ya Uwanja wa Lakers huko Los Angeles.

Tukio la uzinduzi wa sanamu hili lenye urefu wa futi 19 lilifanya na Mjane wake Vanessa siku ya Alhamisi.

Tukio hilo ni kama hii ishara ya kumpa heshima kubwa nyota wao marehemu kwa sura yake kwa Sanamu hilo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *