Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba Sc, Ahmed Ally, ametangaza kuwa, Mgeni rasmi katika mchezo wa Derby ya Kariakoo utakao zikutanisha Simba na Yanga siku ya Jumapili Novemba 5, 2023 atakuwa, Mshambuliaji wao Kibu Denis Prosper.
Contact Us
P. O. BOX 71, Shinyanga, Tanzania
+255 766 408 253
info@jambofm.co.tz