Jambo La Leo

Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Kahama United yatoa Vijana Wawili Timu Ya Taifa

Vijana wawili kutoka timu ya vijana chini ya miaka 15 ya Kahama United FC, Antony Muhamed (13 na Shaban Maulid (13) wamechaguliwa kujiunga na Timu ya Taifa ya Vijana chini ya Miaka 20, Kambi ya TFF jijini Tanga.

Wakiongea na Afisa habari wa Kahama All star Veterans vijana hao wamesema kuwa wamepokelewa vizuri na tayari wameanza Mazoezi.

Sisi kituo cha kugawa maisha fresh Tunawatakia kila la heri vijana hawa na Mungu awasaidie katika kutimiza ndoto zao.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *