Kamati yakataa ombi la  Eto’o kujiuzulu

Kamati tendaji ya Shirikisho la soka nchini Cameroon, imetupilia mbali barua ya kujiuzulu ya Rais wa Shirikisho hilo Samuel Eto’o.

Ombi la Samuel Eto’o kujiuzulu kama Rais wa FECAFOOT limekataliwa na kamati Utendaji bila kujali mwenendo mbaya wa timu ya Taifa ya Cameroon nchini Ivory Coast.

Kamati hiyo bado inaamini kuwa Eto’o ndiye mtu sahihi wa kuliongoza Shirikisho hilo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *