Staa wa muziki, Jux anaingia kwenye familia ya wasanii wa Bongo, wenye subscribe/wafuasi milioni moja.
Jux anaungana na wasanii kama Alikiba, Diamond Platnumz Harmonize Zuchu Nandy Rayvanny Mbosso Marioo, Aslay n.k ambao nao wanaidadi ya wafuasi kama hao.
Haya ni miongoni mwa mafanikio makubwa kwa staa huyo kwa mwaka huu tangu atoe ngoma ya Enjoy ambayo amefanya na Diamond Platnumz .Kwani pia mwaka huu amepata shavu la kutumbuiza kwenye tuzo za Trace Awards zilizofanyika nchini Rwanda mwezi uliopita.