Ifikapo Novemba 10 mwaka huu waandaji wa tuzo za Grammy wanatarajia kutaja orodha ya majina ya wasanii watakaowania tuzo hizo.
Na staa wa muziki kutoka Tanzania, Diamond Platnumz anaamini kuwa ipo siku Tanzania itaingia kuwania tuzo hizo kubwa Duniani na pia ipo siku mtanzania ataondoka na tuzo hizo.