Geof Master azikwa leo jijini Dar Es Salaam

Safari ya mwisho ya Mtayarishaji wa muziki Tanzania Geofrey Musumule ‘Geof Master’ imehitimia leo katika makazi yake ya milele kwenhe makaburi ya Wazo Tegeta Dar es Salaam.

Geof Master alifariki Dunia Ijumaa ya 26 Januari 202 na mazishi yake yame hudhuriwa na baadhi ya Wasanii,ndugu, jamaa na wadau wa muziki.

Enzi za uhai marehemu amefanya kazi na wasanii mbalimbali kama vile Roma, Stamina, Moni Centrozone na wengine.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *