Jambo La Leo

Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Ajiua kwa kunywa sumu baada ya mume wake kubaini ana mchepuko

Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu linafanya uchunguzi wa kifo cha Mwanamke mmoja aliyetambulika kwa jina la Luli Shibone, miaka 29, Mkazi wa kijiji cha Gininga Wilaya ya Busega mkoani Simiyu ambaye inadaiwa alijiua kwa kunywa sumu ya kuulia wadudu waharibifu wa mazao iitwayo Celphos.

Tukio hilo limetokea Januari 29, 2024 majira ya saa 09.30 alfajiri ambapo mume wa mwanamke huyo alibaini mawasiliano kati ya mke wake na mwanaume mwingine baada ya kuchunguza simu ya mkewe alipokuwa amelala usiku.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *