TMA yatabiri mvua kubwa mikoa nane kwa siku tano mfululizo

Mamlaka ya hali ya hewa nchini TMA imetabiri mvua kubwa kwa siku tano mfululizo mikoa nane ambayo ni Morogoro, Lindi, Iringa, Mtwara, Mbeya, Songwe, Njombe na Ruvuma.

Utabiri huo wa TMA ambao umetolewa leo Januari 29,2024 utaanza kesho Januari 30 na utadumu hadi Februari 2 mwaka huu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *