Timu ya Taifa ya Senegal imehitimisha safari yake ya robo fainali kwa kukubali kipigo cha Penat 4 -5 dhidi ya Ivory Coast.
Mchezo war obo fainali wa bingwa mtetezi Senegal dhidi ya wenyeji Ivory Coast uliishia kwa goli moja kwa moja hivyo kupeleka kwenda mikwaju ya penati.
AET: Senegal 1-1 Ivory Coast (Pen: 4-5).