Katika mkutano wa TabiaNchi, unaofanyika nchini Kenya, Rais wa Kenya Willium Ruto ametumia usafiri wa gari ya umeme iitwayo Autopax AirEv YETU ya rangi ya njano inayouzwa kiasi cha KSh Milioni 1.5 hadi KSh Milioni 1.7 ambayo ni sawa na Tsh/=27,461,459.28 hadi Tsh/= 29,177,800.49 kuingia kwenye mkutano huo.
