Familia ya Celine Dion bado inamatumaini

Familia ya Celine Dion bado ina matumaini ya kupata tiba ya ugonjwa wa unaomsumbua ndugu yao.

Claudette, dada wa nguli huyo wa muziki ameliambia jarida la Le Journal de Montreal, kwamba wameshindwa kupata dawa yoyote ambayo inafanya kazi ya kutibu ugonjwa wa muimbaji huyo, lakini wanamatumaini ya kuja kupata dawa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *