Hii ndio rangi ya mwaka 2023 inayotakiwa

Tukiwa tupo bado mwaka 2023 na tupo kwenye majira ya Joto na wengine baridi.. hii inategema na wewe upo eneo lipi, kupitia kampuni ya Pantone inayojikita zaidi kwenye rangi za mitindo wameitangaza rangi ya  “Viva Magenta“, kuwa rangi rasmi ya mwaka 2023/2024, ambayo ni ya kipekee inayofanana na pinki iliyokolea.

Rangi hii unaweza itumia kwenye mavazi yako ama kufanya ubunifu kwenye nyumba yako/makazi yako.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *