Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Doja Cat na kaka yake wafikishana Mahakamani.

Kesi ya Rapa, Doja dhidi ya kaka yake mkubwa Raman Dlamini imesikilizwa huku rapa huyo ombi lake la katazo juu ya kaka yake likigonga mwamba.

Mshindi huyo wa tuzo ya Grammy, alikuwa amewasilisha hati za mahakamani akiomba amri ya zuio la kudumu  dhidi ya kaka yake kwa kile alicholisema amekuwa akimtolea maneno machafu ya unyanyasaji.

Mama wa vijana hao Bi. Deborah Elizabeth Sawyer, amesema Raman, amekuwa akimtukana kimwili ndugu yake pamoja na yeye hivyo ikapelekea

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *