Jarida la Essence limemtajwa Staa wa muziki kutoka Nigeria, Burna Boy, kuwa mmoja wa wanaume 10 wanaovutia zaidi kwa sasa.
Orodha ya majina hayo yametoka leo Aprili 12,2024 ikijumuisha mastaa mbalimbali wa filamu na muziki kama vile Usher, Trevente Rhodes, Daniel Kaluuya, Colman, na Skepta pamoja na Damson Idris.