Licha ya kutumbuzia kwenye usiku wa Grammy 2024, Staa wa muziki kutoka Nigeria Burna Boy amekosa vipengele vyote vinne vya tuzo hizo kubwa.
Vipengele hivyo ni :-
– Best Global Music Album (I Told Them…),
– Best African Music Performance (City Boys),
– Best Global Music Performance (Alone) na;
– Best Melodic Rap Performance (Sittin’ on Top of the World).