Timu ya Yanga SC, ikiwa nchini Afrika Kuisni inakutana na changamoto ya usafiri baada ya usafiri wa timu hiyo uliotolewa na wenyeji Mamelodi Sundowns kuharibika umbali wa kilomita 5 tu kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa OR Tambo.

Hata hivyo baadae walifanikiwa kupata basi lingine na liliwabeba .