Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

BASATA itawatoza laki 2.5 badala ya Mil 1 wasanii wa nje

Baraza la Sanaa la Taifa limependekeza kuanzia Julai mwaka huu wasanii wanaokuja kutumbuiza nchini kutoka ndani ya Jumuiya ya Afrika Mashariki wataozwa kiasi cha TZS 250,000 badala ya TZS milioni 1 iliyopo sasa.

Hayo yamebainishwa na Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa Kedmon Mapana leo Machi 12, 2024 katika mkutano na waandishi wa habari amabpo alisema haya yanajiri ni kutokana na mchakato wa maboresho yaliyofanywa ya kanuni za mwaka 2018 yanayolenga kuwa na kanuni wezeshi kwa wasanii na wadau wa sanaa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *