Ikiwa ni mfululizo wa Klabu ya Soka ya Yanga kufunga magoli matano, Staa wa muziki mkongwe Lady Jay Dee ameshare picha akiwa ndani ya klabu hiyo na kukutana na Rais wa Klabu hiyo Eng. Hersi Said.
Jide ni miongoni mwa wasanii wakongwe wa muziki na ni shabiki wa Yanga ambaye ameachiwa wimbo wa Mambo Matano.