Baba Levo anatamani msanii wa kike

Msanii wa muziki, @officialbabalevo ameweka wazi kutamani kusaini tena msanii wa kike ambaye atakuwa akimsimamia kazi zake.

“Acha nijaribu tena kumleta msanii wa kike kwenye game ..!! Maana Sisi Wengine Tumesha zeeka tuwape nafasi vijana…!🙏🙏🙏 #COLEN,” ameandika Baba Levo.

Mwaka 2020 Baba Levo aliwahi kumsaini msanii wakike anayeitwa @oti_tz_ ila baadae msanii huyo wa alidai alitapeliwa na Baba Levo kiasi cha milioni 12 na kumbwaga.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *