Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Mhe. Johari Samizi, leo alikuwa mgani rasmi kwenye Fainali ya mchezo wa Kikapu Mkoa wa Shinyanga, kati ya Risasi dhidi ya B4 Mwadui.
Timu ya Risasi iliibuka mshindi dhidi ya B4 Mwadui kwa vikapu 67-49. Mchezo huo umechezwa kwenye uwanja wa Risasi Mazingira Center.