Apoteza fahamu baada ya kusomewa dua ya kuacha ‘Uchawa’

Staa wa muziki H Baba amepoteza fahamu(Kuzimia) baada ya kumaliza kusomewa dua ya kumtaka mwaka 2024 aache kuwa chawa (Mpambe) na badala yake afanye kazi kwa bidii.

Dua hiyo imesoma kwao Mwanza (Jana) akiwa na watu kadhaa akiwemo rapa Fid Q.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *