Aliyewapa kibano Jux na Diamond Platnumz atoa siku mbili

Baada kuiripoti audio ya Enjoy, na kupelekea kufutwa na Youtube msanii Sapologuanoodenumz , ameibuka na kusema kuwa wasipo mtafuta kwa siku mbili(toka jana) basi ataripoti pia Video ishushwe.

Katika mahojiano aliyofanya na vyombo mbalimbali nchini Msanii huyo amebainisha wasanii hao wame-copy wimbo wake wa I Found Love. Pia ameeleza kuwa Jux ndio msanii alikuwa anawasiliana naye wafanye kazi na alimtumia kazi yake.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *