Rapa Kanye West anaendelea kutikisa vichwa vya habari sio tu kutokana na mavazi ya mkewe Bianca bali pia albamu yake ya “Vultures” iliyotoka tarehe 10, mwezi huu imefanya vizuri na kushika namba moja chati za Billboard 200 .

Vultures ni albamu ya inayomshirikisha rapa Kanye West na mwimbaji Ty Dolla Sign, na inangoma zipatazo 16.
