Mtayarishaji wa Muziki kutoka Marekani Suge Knight amemshtumu Akon na mtayarishaji wake wa muda mrefu Details kwa kuwanyanyasa kingono mabinti wawili mmoja wa miaka 13 na 12.
Akiwa katika mahojiano na The Source magazine amesema kuwa ukaribu wake na Akon haukuvunjika kwa sababu ya pesa bali ni baada ya na kisa cha Akon na mtayarishaji wake Detail, kudaiwa kuwanyanyasa kingono mabinti hao wakiwa kwenye gari.
