Moto mkubwa ambao chanzo chake haujafahamika unaendelea kuwaka na kuunguza duka la vifaa vya umeme katika mtaa wa Rwagasore, Karuta Jijini Mwanza. Na tayari Jeshi la zimamoto Mwanza, wamefika katika eneo la tukio na linaendelea na jitihada za kuzima moto huo
Contact Us
P. O. BOX 71, Shinyanga, Tanzania
+255 766 408 253
info@jambofm.co.tz