Zuchu aomba radhi kwa kuimba matusi

Staa wa muziki na msanii wa lebo ya WCB, Zuchu nameomba radhi kwa kitendo chake cha kuimba matusi kwenye shoo ya Full Moon Party iliyofanyika Februari 24,2024 kisiwani Zanzibar.

Licha ya kuomba radhi kwa maandishi pia msanii huyo alitinga ofisi za BASATA, zilizopo jijini Dar Es Salaam akiongozana na mmoja wa wa kiongozi wake kwaajili ya kuomba radhi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *