Mshambuliaji Prince Dube wa Azam FCamepeleka barua kwenye uongozi wa Klabu ya Azam FC akitaka kuvunja mkataba wake.
Dube alijiunga na Azam FC toka 2020, na uongozi umempa majibu juu ya barua yake.
Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!
P. O. BOX 71, Shinyanga, Tanzania
+255 766 408 253
info@jambofm.co.tz