Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi wakimswalia aliyekua Rais wa awamu ya pili wa Tanzania, Alhaj Ali Hassan Mwinyi kabla ya mwili wake kupelekwa Mangapwani kwa ajili ya mazishi.


