Mabasi mawili ya  abiria yagongana Kahama

Basi namba T291ATH Mumuki Express Basi lililokuwa safarini kutoka Arusha kwenda Kahama limepata ajali jioni ya leo Jumamosi Machi 02, 2024 maeneo ya phantom Manspaa ya Kahama baada ya kuligonga basi namba T452DKG kampuni ya Marangu kwa nyuma ambalo nalo lilikuwa linatoka Arusha kwenda Kahama wakati wakati likijitahidi kumkwepa uendesha pikipiki katika eneo hilo la Phantom Kahama.

Mpaka sasa idadi ya majeruhi bado haijafahamika.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *