Kesi ya Rapa, Doja dhidi ya kaka yake mkubwa Raman Dlamini imesikilizwa huku rapa huyo ombi lake la katazo juu ya kaka yake likigonga mwamba.
Mshindi huyo wa tuzo ya Grammy, alikuwa amewasilisha hati za mahakamani akiomba amri ya zuio la kudumu dhidi ya kaka yake kwa kile alicholisema amekuwa akimtolea maneno machafu ya unyanyasaji.
Mama wa vijana hao Bi. Deborah Elizabeth Sawyer, amesema Raman, amekuwa akimtukana kimwili ndugu yake pamoja na yeye hivyo ikapelekea