Mkoa wa Shinyanga ni miongoni mwa mikoa iliyo na makazi ya kulelea wazee yaliyoanzishwa mwaka 1975 yanayopatikana Kolandoto katika Halmshauri ya Manispaa ya Shinyanga mahali ambapo Jambo Fm imefika ili kujua hali halisi ya ndugu pamoja na jamii kwa ujumla katika matunzo ya wazee 18 wanaoishi na kuhudumiwa na serikali katika makazi hayo.
Contact Us
P. O. BOX 71, Shinyanga, Tanzania
+255 677 644 444
info@jambofm.co.tz