Kundi la muziki kutoka hapa Tanzania The Mafik ambalo lilikuwa linaundwa na wasanii watatu( Hamadi, Rhino King na Marehemu Mbalamwezi) linarudi tena likiwa na memba wapatao wanne baada ya ukimya wa muda mrefu.
Kundi hilo linatarajia kuachia kazi yao mpya mwezi huu Novemba 28 , huku tetesi zikiwa msanii Mick Singer yupo ndani.