Mwili wa mwanamitindo umekutwa kwenye friji

Mwili wa mwanamitindo wa Los Angeles, Maleesa Mooney umepatikana ukiwa ndani ya friji lake huku ukiwa na majeraha.

Kwa mujibu wa Ofisi ya Mkaguzi wa Matibabu wa LA, kupitia wachunguzi wa maiti wamesema kuwa wamekuta majeraha kwenye uso, kichwani na mgongoni. Pia wamekuta chembe chembe za cocaine kwenye mfumo wake wa damu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *