Mlinzi wa Trey Songz, amehukumiwa kifungo

Mlinzi wa staa wa R&B Trey Songz, Cornell Whitfield (40) amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja huko Dubai kwa kosa la kumpiga kofi shabiki aliyejaribu kutaka kumshika Songz mnamo Mwezi Machi mwaka jana wakiwa kwenye moja ya hoteli huko Dubai.

Whitfield, amewahi kuwa mlinzi wa watu maarufu kama Lil’ Kim, beki wa pembeni wa Dallas Cowboys, Trevon Diggs na wengineo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *