Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Asake ni balaa hadi Ghana mjue!!

Kutoka nchini Ghana, Shatta walenima Wale, amekiri kuwa hakuna msanii mkubwa nchini kwake zaidi ya Asake  kutoka Nigeria.

Haya yalianza kupitia mjadala wa kwenye mitandao wa Twitter (X) ambapo alikuwa akijibu maswali ya Serwaa, ikiwemo la Wale kuwahi kusema yeye ni msanii Tajiri Ghana, ndipo akanyoosha maelezo hayo.
Hivi karibuni Asake anaingia kwenye orodha ya wasanii kutoka Afrika walioweza kuutapisha ukumbi wa 02 Arena kwa kujaza watu 20,000 nchini Uingereza

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *