Nicki Minaj amnasa aliyemchomea kwa polisi

Rapa Nick Minaj ameshampata aliyepiga simu ya kumchomea kwa watu wa Idara ya Watoto na Huduma za Familia, kuwa rapa huyo na mumewe wanamfanyia kitendo cha kikatili mtoto wao nyumbani na kupeleka polisi wa LA maeneo ya San Fernando Valley kufika eneo hilo ila wakakuta taarifa ilikuwa ya uongo(Prank).

Mshikaji huyo aitwaye Stephanie Bell, alifanya kitendo hicho mwezi uliopita na sasa ataonja joto ya jiwe kwani Nicki ameshamchukulia hatua za kumfikisha mahakamani.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *