Maziwa ni kiowevu cheupe kinachotolewa na majike wa mamalia kama lishe kwa ajili ya watoto.
- Huimarisha mifupa.
Tunahitaji kunywa maziwa ili kulinda na kuimarisha mifupa yetu dhidi ya magonjwa kama vile udhaifu wa mifupa (osteoporosis). Maradhi haya huzuiliwa kwa kalisiamu ipatikanayo kwenye maziwa na ambayo hufyonzwa kutokana na uwepo wa vitamini D - Huimarisha afya ya meno.

3. Hujenga misuli.
Hii inatokana na protini zinazopatikana katika maziwa. Maziwa huzuia maumivu ya misuli pamoja na kurudisha ute ulipotea kwenye misuli wakati wa kazi mbalimbali.

- Hujenga na kulainisha ngozi.
- Husaidia kupunguza uzito.
Inashuriwa kunywa maziwa wakati wa chakula cha jioni au unapokula matunda. - Huondoa msongo wa mawazo.
Baada ya kazi nyingi za siku, inashauriwa kunywa angalau glasi moja ya maziwa ya. Hii litakusaidia kukuondolea msongo katika misuli na neva zako za fahamu. - Huzuia maumivu wakati wa hedhi.
- Huongeza nguvu za mwili.
- Huondoa kiungulia.
- Hupambana na maradhi mengine; kama vile shinikizo la damu na kiharusi. Inaaminika pia, maziwa hupunguza lehemu (cholesterol) mwilini na kuongeza uwezo wa macho kuona.