Walimu walionyang’anywa viti na mtendaji na kukalia madaftari wapatiwa viti

Siku mbili baada ya kuripotiwa kwa tukio la walimu wa shule ya msingi Nyasalala iliyopo Kata ya Bukondo Mkoa wa Geita kunyang’anywa viti na mtendaji wa Kijiji na kuwaamuru kukaa chini, hatimaye Kamati ya shule hiyo kwa kutambua changamoto ya uhaba wa meza na viti Kwa ajili ya walimu, ilikaa na kufikia maamuzi ya Kutengeneza viti 8 na meza 8 kupitia Ruzuku ya Serikali ya uendeshaji wa shule ili walimu waweze kupata meza na viti vya kwa ajili ya kazi zao.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *