Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Christina Mndeme18 Mndeme amebaini uwepo wa kaya 142 kati ya kaya 1852 zenye wakazi wapatao 11,173 zisizokuwa na vyoo katika kata ya Idukilo katika halmashauri ya wilaya wa Kishapu kata ambayo ni chimbuko la ugonjwa wa kipindupindu katika wilaya hiyo.
Contact Us
P. O. BOX 71, Shinyanga, Tanzania
+255 766 408 253
info@jambofm.co.tz