VIDEO: “Majeruhi wametibiwa Manyara”

Uwekezaji katika sekta ya Afya warahisisha upatikanaji wa huduma Manyara
Naibu Waziri wa Afya Dkt Godwin Mollel ameeleza kwamba 98% ya majeruhi wa tope lililoporomoka kutoka Mlima Hanang walipaswa kutibiwa nje ya mkoa huo endapo huduma za Afya zingekuwa hazijaboreshwa mkoani Manyara.

Amegasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari hii leo Desemba 8,2023 katika hospitali ya Tumaini na kuwashukuru wadau wote walioshiriki kutoa msaada kwa wahanga pamoja na kuelezea halina idadi ya majeruhi waliopo hospitali mpaka hii leo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *